077/01 (Mwananyamala )
No specified Location Address
Unfurnished
1 Bedroom

... m
2
Nyumba ya vyumba viwili ni makazi madogo yenye vyumba viwili vya kulala, sehemu ya kukaa, jiko, living room na bafu moja. Inafaa kwa familia ndogo, wanandoa, au mtu anayehitaji chumba cha ziada kwa mgeni au ofisi. Maji yapo ndani ya nyumba 24 hours, independent luku meter.