House Details
Kwako ni Kwako
063/03 (Ground Duplex)
Mwananyamala, Kinondoni, Dar es Salaam










Property Description
Nyumba ipo mahali pazuri na huduma zote muhimu za jamii, maji yanapatikana ndani ya nyumba masaa 24, umeme ni wa kujitegemea (independent Luku meter). Gate ni la remote na kuna electric Fence. Na tayari ina wapangaji ndani. wekeza sasa kupitia uniti hii kwa kulipa TSh. 345,000/= tu na gharama iliyobaki ikilipwa na mpangaji wako ambayo ni TSH.650,000/=
Property Features
Living Room
(1)
M Bedroom
(1)
Bathroom
(1)
S Bedroom
(1)
Public Toilet
(1)
Kitchen
(1)
Parking slot
(1)
Private space
Fance Light
Water Tank
Electric Fance
Parking slot
Aluminium
Curtain Box
Fan
Floor Tiles
Cabinets
Cooker Unit
lights