Share this link via
Or copy link
A1 ni ya ukubwa wa kati, sqm 50 zenye nafasi ya kutosha, master bedroom yenye choo ndani, jiko la kuvutia na sebuleni tulivu – chaguo lako bora kwa maisha ya kisasa. Slightly roomier, the A1 model gives you 50 sqm of functional space with all the essentials: ensuite master, sleek kitchen, and comfortable sitting room – your next smart move.