Share this link via
Or copy link
C2:Nyumba kuu ya familia! Kwa sqm 110, master bedrooms mbili, chumba cha wageni, na maeneo ya pamoja yenye nafasi – C2 ni ndoto ya familia au upangishaji wa hadhi ya juu. The flagship family home! With 110 sqm of premium design, two ensuites, guest bedroom, and full shared spaces – C2 is the dream for families or high-end short stays