Share this link via
Or copy link
Nyumba ipo mahali pazuri na huduma zote muhimu za jamii, maji yanapatikana ndani ya nyumba masaa 24, umeme ni wa kujitegemea (independent Luku meter). Gate ni la remote na kuna electric Fence. Na tayari ina wapangaji ndani. wekeza sasa kupitia uniti hii kwa kulipa TSh. 330,000/= tu na gharama iliyobaki ikilipwa na mpangaji wako ambayo ni TSH.500,000/=